MUUNGANO WA AZIMIO WASITISHA SHUGHULI ZA MAANDAMANO.
Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya umeafikiana kusitisha shughuli za maandamano dhidi ya uongozi wa Rais William Ruto na badala yake kuendeleza mazungumzo na viongozi wa muungano wa Kenya Kwanza. Haya yanariji baada ya ombi la muungano wa Azimio la kumtaka mbunge wa Eldas kaunti ya Wajir, Adan Keynan, kuondolewa kwenye kamati Kenya Kwznza […]
MUUNGANO WA AZIMIO WASITISHA SHUGHULI ZA MAANDAMANO. Read More »

