BARAZA LA VIJANA NCHINI LATENGEWA FEDHA ZA KUFANYA UCHAGUZI WA VIONGOZI WAKE.
Baraza la kitaifa la vijana (NYC) liko huru kuandaa uchaguzi wake wa kitaifa ambao umekwama kwa muda mrefu. Hii ni baada ya Bazara la Mawaziri siku ya Jumanne, kuidhinisha kutolewa kwa shilingi milioni 165, zinazohitajika ili kufanisha uchaguzi huo. Waziri wa Masuala ya Vijana Salim Mvurya, amefichua kuwa hatimaye uchaguzi huo, ambao umekwama tangu mwaka […]
BARAZA LA VIJANA NCHINI LATENGEWA FEDHA ZA KUFANYA UCHAGUZI WA VIONGOZI WAKE. Read More »



