HABARI

SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI YATEUA UPYA WAZIRI WA BARABARA.

Aliyekuwa afisaa mkuu wa barabara kaunti ya Kilifi, Philip Charo ametauliwa kuhudumu katika nafasi ya katibu wa serikali ya kaunti ya Kilifi na waziri wa barabara kaunti hii. Uteuzi wa Charo, umefanyika baada ya aliyekuwa waziri wa barabara hapa kaunti ya Kilifi, Catherine Kenga, kuchaguliwa na wawakilishi wadi kaunti ya Kilifi, kuhudumu katika nafasi ya […]

SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI YATEUA UPYA WAZIRI WA BARABARA. Read More »

BARAZA LA MAGAVANA LA PINGA SUALA LA UKAGUZI WA UTUMIZI WA FEDHA ZA BASARI KATIKA KAUNTI SITA ZA TAIFA HILI.

Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa bajeti Magaret Nyakang’o, imekosolewa vikali kufuatia hatua yake ya kutaka kufanya ukaguzi upya, wa matumizi ya fedha katika kaunti sita humu nchini. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Baraza la Magavana, ambaye pia ni Gavana wa Kaunti ya Wajir, Ahmed Abdullahi, ofisi hiyo imekuwa ikifanya ukaguzi katika kaunti zote na hivyo

BARAZA LA MAGAVANA LA PINGA SUALA LA UKAGUZI WA UTUMIZI WA FEDHA ZA BASARI KATIKA KAUNTI SITA ZA TAIFA HILI. Read More »

WIZARA YA AFYA YATANGAZA KUPUNGUZWA KWA MISHAHARA YA WANAGENZI.

Marupurupu ya wauguzi wanagenzi na matabibu imepunguzwa kufuatia agizo la mahakama wiki jana. Katibu katika Wizara ya Afya Mary Muthoni, amesema kuwa wanagenzi wapya watakaoajiriwa watapokea marupurupu yaliyopunguzwa jinsi ilivyoamrishwa na mahakama. Wanagenzi wapya wa shahada ya digrii, watakuwa wakipokea marupurupu ya kati ya shilingi 27,000 na 35,000, wakati wanagenzi wa Utabibu wakipokea kati ya

WIZARA YA AFYA YATANGAZA KUPUNGUZWA KWA MISHAHARA YA WANAGENZI. Read More »