KATIBU WA CHAMA CHA JUBILEE JEREMIAH KIONI APINGA PENDEKEZO LA MAZUNGUMZO YA KITAIFA.
Chama cha Jubilee kimejiunga na viongozi wengine nchini katika mrengo wa upinzani, kupinga pendekezo la kuwepo kwa mazungumzo ya kitaifa, ili kutatua changamoto za vijana wa kizazi cha Gen Z. Katibu mkuu wa chama hicho Jeremiah Kioni, amesema kuwa wakenya hawana haja ya mazungumzo, kwani tayari wanafahamu matatizo yao, ambayo yamekuwa yakizungumzwa kwenye kila kikao […]
KATIBU WA CHAMA CHA JUBILEE JEREMIAH KIONI APINGA PENDEKEZO LA MAZUNGUMZO YA KITAIFA. Read More »



