HABARI

WATUMISHI WA UMMA WAONYWA DHIDI YA KUCHELEWA KAZINI.

Waziri wa utumishi wa umma nchini Geoffrey Ruku, amewaonya maafisa wa serikali dhidi ya kuchelewa kufika kazini, akisema kuwa huenda wakaadhibiwa. Akizungumza baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika afisi za umma kule kaunti ya Nyeri, waziri Ruku amesema kuwa hatua hiyo, imechangia wananchi kutopata huduma bora kutoka kwa serikali kupitia afisi hizo. Ameongeza kuwa

WATUMISHI WA UMMA WAONYWA DHIDI YA KUCHELEWA KAZINI. Read More »

WIZARA YA USALAMA YAAHIDI KUWACHUKULIA HATUA ZA KISHERIA WALE WALIOFADHILI MAANDAMANO NCHINI.

Idara ya usalama nchini imeapa kuwachukulia hatua za kisheria wanasiasa watakaopatikana na hatia, ya kufadhili maandamano ya kizazi cha Gen Z katika maeneo tofauti ya taifa hili. Katika taarifa wa waandishi wa habari, kwenye majengo ya afisi za wizara hiyo kaunti ya Nairobi, Waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen, amekashifu hatua ya waandamanaji kuharibu

WIZARA YA USALAMA YAAHIDI KUWACHUKULIA HATUA ZA KISHERIA WALE WALIOFADHILI MAANDAMANO NCHINI. Read More »