SERIKALI YA KAUNTI YA TAITA TAVETA YAANZISHA MIKAKATI YA KUKABILIANA DHULMA ZA KIJINSIA.
Kufuatia ongezeka la visa vya dhulma hasa kwa watoto na wanawake kaunti ya Taita Taveta, serikali ya kaunti hiyo imeandaa kongamano la kujadili mbinu za kukabili suala hilo mjini Voi. Gavana wa kaunti hiyo Andrew Mwadime, amesema kuwa visa vya dhulma za kijinsia hasa kwa wanawake na watoto kaunti ya Taita Taveta, vimeendelea kukithiri kila […]
SERIKALI YA KAUNTI YA TAITA TAVETA YAANZISHA MIKAKATI YA KUKABILIANA DHULMA ZA KIJINSIA. Read More »



