WANAKANDARASI WAONYWA DHIDI YA ULEGEVU KATIKA UTEKELEZWAJI WA MIRADI YA SERIKALI KUU.
Wanakandarasi nchini wameonywa dhidi ya kutokamilisha miradi ya serikali ya kitaifa kwa wakati. Waziri wa madini na uchumi wa rasilimali ya bahari na maziwa nchini Ali Hassan Joho, amesema kuwa idadi kubwa ya miradi inayo anzishwa na serikali, imekuwa ikikawia kukamilika, pasi na sababu zozote za kimsingi. Akizungumza katika kaunti ya Kwale, kwenye ziara ya […]
WANAKANDARASI WAONYWA DHIDI YA ULEGEVU KATIKA UTEKELEZWAJI WA MIRADI YA SERIKALI KUU. Read More »



