HABARI

WAKENYA WAONYWA DHIDI YA SIASA ZA UKABILA.

Mshauri wa masuala kisiasa katika afisi ya rais William Ruto, Karisa Nzai amewaonya wakenya dhidi ya kugawanywa kwa misingi ya kisiasa. Karisa Nzai amesema kuwa siasa za ukabila zinaweza kuchangia katika kushuhudiwa kwa migawanyiko ndani ya taifa hili. Akizungumza katika kaunti ya Mombasa, amesema kuwa wakenya wanapaswa kudumisha umoja utakao sababisha kushuhudiwa kwa amani katika […]

WAKENYA WAONYWA DHIDI YA SIASA ZA UKABILA. Read More »

BUNGE LA KAUNTI YA TAITA TAVETA LAADHIBU WAWAKILISHI WADI WAWILI KWA KUWAONDOA MAMLAKANI.

Kaimu Spika wa bunge la kaunti ya Taita Taveta Anselim Mwadime ametangaza viti vya wawakilishi wadi ya Mboghoni mjini Taveta na Wadi ya Rong’e mjini Mwatate kuwa wazi. Kulingana na Mwadime, wawakilishi wadi hao ambao ni Dorcus Mlughu na Khalifa Taraya, wamekosa kuhudhuria vikao vinane vya bunge, hivyo hawapaswi kuendelea kuwa wanachama wa bunge hilo

BUNGE LA KAUNTI YA TAITA TAVETA LAADHIBU WAWAKILISHI WADI WAWILI KWA KUWAONDOA MAMLAKANI. Read More »