HABARI

RAIS WILLIAM RUTO AZIDI KUTOA AHADI KWA WAKENYA.

Rais William Ruto ameendelea kuwapatia ahadi kemkem wachezaji wa timu ya Harembe Stars, iwapo watafaulu kushinda mechi zilizoko kwenye madaraja tofauti katika mshindano ya CHAN. Akizungumza na wachezaji hao hii leo, rais Ruto ameahidi kuwazawadi shilingi milioni moja kila mchezaji na nyumba za vyumba viwili vya malazi, kupitia mpango wa ujenzi wa nyumba za bei […]

RAIS WILLIAM RUTO AZIDI KUTOA AHADI KWA WAKENYA. Read More »

SERIKALI YA KITAIFA YA WEKA MIKAKATI YA KUKABILIANA NA MARADHI YA HEPATITIS.

Asilimia tatu ya Wakenya wanaugua ugonjwa wa ini, unaojulikana kwa kimombo Hepatitis B na C. Ukosefu wa ufahamu kuhusu ugonjwa huo, hasa katika maeneo ya mashinani, umetajwa kuwa changamoto kuu inayokwamisha juhudi za kukabiliana msambao wa maradhi hayo. Akizungumza na wanahabari jijini, Mombasa wakati wa hafla ya kuadhimisha Siku ya Hepatitis Duniani, Mkurugenzi Mkuu wa

SERIKALI YA KITAIFA YA WEKA MIKAKATI YA KUKABILIANA NA MARADHI YA HEPATITIS. Read More »

MWAKILISHI WADI ALIYE TIMULIWA BUNGENI KAUNTI YA TAITA TAVETA AELEKEA MAHAKAMANI KUTETEA NAFASI YAKE.

Mwakilishi wadi ya Ronge kaunti ya Taita Taveta, Dorcus Mlughu amepinga madai yaliyo ibuliwa dhidi yake na naibu spika kwa bunge la kaunti hiyo Anselm Mwadime, kuhusiana na hatua yake kutohudhuria vikao vinane vya bunge hilo. Kulingana na Mlughu, matamshi hayo sio ya kweli na tayari ameelekea mahakamani ili kupinga uamuzi wake, kubanduliwa katika nafasi

MWAKILISHI WADI ALIYE TIMULIWA BUNGENI KAUNTI YA TAITA TAVETA AELEKEA MAHAKAMANI KUTETEA NAFASI YAKE. Read More »