HABARI

SERIKALI YA KITAIFA YASEMA VIJANA WENGI WAMENUFAIKA NA FEDHA ZA HAZINA YA HUSLER.

Rais William Ruto amesema kuwa zaidi ya wakenya milioni 26, wamenufaika na mikopo ya hazina ya HUSLER kote nchini. Kulingana na Rais, milioni tisa kati yao, wamekuwa wakikopa mara kwa mara, hatua ambayo anasema imedhirisha kuwa wakenya wengi wamefaidika pakubwa na hazina hiyo. Akizungumza katika maadhimisho ya siku ya vijana nchini katika chuo kikuu cha […]

SERIKALI YA KITAIFA YASEMA VIJANA WENGI WAMENUFAIKA NA FEDHA ZA HAZINA YA HUSLER. Read More »

MAKABURI ZAIDI YATABULIWA KATIKA ENEO LA KWA BINZARO HAPA KAUNTI YA KILIFI.

Makaburi mengine saba, mafuvu, na mifupa ya binadamu  imepatikana  katika kijiji cha Kwa Binzaro  kaunti ya Kilifi . Afisa mkuu wa upelelezi kaunti ya Kilifi Robert Kiinge, amethibitisha matukio hayo huku akihofia  kwamba huenda  wafuasi wengi wa dhehebu potofu wamefariki katika eneo hilo. Kiinge amesema kuwa  makaburi hayo, niya  kina kifupi  mno  na waathiriwa walizikwa

MAKABURI ZAIDI YATABULIWA KATIKA ENEO LA KWA BINZARO HAPA KAUNTI YA KILIFI. Read More »

WIZARA YA USALAMA YASISITIZA GACHAGUA KUANDIKISHA TAARIFA KATIKA AFISI ZA DCI PINDI ATAKAPO REJEA HUMU NCHINI.

“Iwapo aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua hata andikisha taarifa kwa idara ya polisi, kuhusiana na matamshi yake ya serikali ya taifa hili kushirikiana magaidi, tutahakikisha kuwa anafanyiwa uchunguzi wa afya ya akili yake.” Ndiyo matamshi ya waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen, ambaye amesema kuwa Gachagua amekuwa akizungumzia masuala tata, ambayo yanaweza kuweka taifa

WIZARA YA USALAMA YASISITIZA GACHAGUA KUANDIKISHA TAARIFA KATIKA AFISI ZA DCI PINDI ATAKAPO REJEA HUMU NCHINI. Read More »