WANAHARAKATI WATILISHAKA HATUA YA SERIKALI KUWALIPA FIDIA WAATHIRIWA WA MAANDAMANO.
Mwanaharakati wa shirika la Vocal Afrika, Hussein Khalid ametilia shaka tangazo la serikali ya kitaifa, kuhusiana na malipo ya fidia kwa waathiri wa maandano humu nchini. Hussein amesema kuwa serikali kuu, ilikosa kutoa maelezo kamili kuhusiana na waathiriwa wa maandamano yapi, watakao nufaika na fidia hiyo. Vile vile ameongeza kuwa serikali pia, ilikosa kutoa mwelekeo […]
WANAHARAKATI WATILISHAKA HATUA YA SERIKALI KUWALIPA FIDIA WAATHIRIWA WA MAANDAMANO. Read More »



