HABARI

FAMILIA ZILIZO POTEZA WAPENDWA WAO ZATAKIWA KUJITOKEZA KUTAMBUA MIILI ILIYOFUKULIWA KWA BINZARO.

Wito umetolewa kwa wakenya waliopoteza wapendwa wao kufika katika mahakafani ya hospitali kuu ya Malindi kaunti ya Kilifi ili kufanya fanyiwa uchunguzi wa chembechembe za DNA, kubaini iwapo wapendwa wao ni kati ya wale walioangamia katika msitu wa Kwa Binzaro. Haya ni kwa mujibu wa mshirikishi mkuu wa utawala kanda ya Pwani, Rhoda Onyancha ambaye […]

FAMILIA ZILIZO POTEZA WAPENDWA WAO ZATAKIWA KUJITOKEZA KUTAMBUA MIILI ILIYOFUKULIWA KWA BINZARO. Read More »

VIJANA WATAKIWA KUTUMIA TALANTA ZAO KUJIIMARISHA KIUCHUMI.

Katibu wa masuala ya vijana nchini Fikirini Jacobs amewataka vijana kuendelea kujijenga kitaaluma, kisanaa na kibiashara ili kujiimarisha kiuchumi. Fikirini amesema kuwa kwa sasa serikali ya Kenya kwanza imeanzisha mpango wa kuwasaidia wasanii kupata fedha za kuwasaidia kujiendeleza kiuchumi. Fikirini amesisitiza vijana kutumia vyema vipaji vyao hasa katika masuala ya sanaa kwani vina uwezo wa

VIJANA WATAKIWA KUTUMIA TALANTA ZAO KUJIIMARISHA KIUCHUMI. Read More »