MAAFISA WAKUU 13 KWENYE SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI WASIMAMISHWA KAZI
Serikali ya kaunti ya Kilifi ikiendelea kufanyiwa uchuguzi na tume ya maadili na kukabiliana na ufisadi nchini EACC kuhusu mbinu mpya ya ukusanyaji mapato ya kaunti, serikali ya kaunti ya Kilifi imewasimamisha kazi maafisa wakuu 13 katika kitengo cha ununuzi kwa muda wa siku 90, kutokana na kile kinachodaiwa kuchangiwa na utumizi mbaya wa ofisi. …
MAAFISA WAKUU 13 KWENYE SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI WASIMAMISHWA KAZI Read More »