HABARI

RUDIGER NA ALABA WAPONA, VINI AKIPANGA KUBAKI REAL

Beki wa Ujerumani Antony Rudiger pamoja na David Alaba ni kati ya wachezaji wa Real Madrid ambao wanatarajiwa kurejea kikosini baada ya kumaliza kuuguza majeraha yao. Wachezaji hao walikosekana katika mechi ya mchujo dhidi ya Manchster City hiyo jana na kumfanya kocha wa Real Don Carlo Ancelloti kumtumia beki mchanga Raul Asencio raia wa Uhispania. […]

RUDIGER NA ALABA WAPONA, VINI AKIPANGA KUBAKI REAL Read More »

WANAFUNZI 25 WAKAMATWA KWENYE OPARESHENI YA KUWASAKA WATOTO WALIO MITAANI KAUNTI YA TANA RIVER.

Jumla ya wanafunzi 25 katika kijiji cha Zobaki kule kaunti ya Tana River, wamekamatwa na viongozi wa idara ya usalama katika oparesheni ya kuwasaka watoto ambao, bado hawajende shuleni kufikia sasa. Kulingana na Chifu wa eneo hilo Saidi Komora, ambaye pia aliongoza opareshini hiyo kwa ushirikiano na wazee mitaa katika eneo lake, watoto waliotiwa nguvuni

WANAFUNZI 25 WAKAMATWA KWENYE OPARESHENI YA KUWASAKA WATOTO WALIO MITAANI KAUNTI YA TANA RIVER. Read More »

VIONGOZI WA DINI YA KIISLAMU WAITAKA SERIKALI YA KITAIFA KUONDOA USHURU WA TENDE MSIMU WA RAMADHAN.

Baraza la maimamu na wahubiri wa kiislamu nchini CIPK sasa linaitaka serikali kuondoa ushuru wa tende, wakati wa mwezi wa ramadhan, unaotarajiwa kuanza mapema mwezi ujao. Kulingana na mwenyekiti wa baraza hilo kitaifa Sheikh Ibrahim Abdallah Ateka, lengo kuu la mataifa ya kiarabu kutuma tende, ni kutoa msaada kwa waumini wa dini hiyo, wasiokuwa na

VIONGOZI WA DINI YA KIISLAMU WAITAKA SERIKALI YA KITAIFA KUONDOA USHURU WA TENDE MSIMU WA RAMADHAN. Read More »