HABARI

GOR MAHIA HAIKO FREEMASON RACHIER ANAJISEMEA MWENYEWE – SAM OCHOLA

Kamati kuu ya klabu ya Gor Mahia imetoa taarifa kwamba klabu hiyo haijihusishi na masuala ya Freemason kuanzia wachezaji na vitengo vyote vya Kogalo. Hii ni kulingana na katibu mkuu wa klabu hiyo Sam Ocholla ambaye amehoji kuwa suala la mwenye kiti Ambrose Rachier kusema kwamba yeye ni mmoja wa wa mafreemason ni jambo lake

GOR MAHIA HAIKO FREEMASON RACHIER ANAJISEMEA MWENYEWE – SAM OCHOLA Read More »

PAUL BITOK AMEMPONGEZA SHARON KWA KUSAINI DILI LA KIMATAIFA

Mkufunzi mkuu wa kikosi cha kinadada wa malkia strikers Paul Bitok amempongeza Sharon Chepchumba mchezaji wa volibali kwa kusaini dili kubwa na klabu ya Aris Thesaloniki ya Ugiriki kwa mkataba wa uhamisho wa kudumu. Chepchumba ambaye alianza kucheza kama kipa wa soka kabla ya kuhamia kwenye mchezo wa mpira wa wavu sasa amesaini mkataba wa

PAUL BITOK AMEMPONGEZA SHARON KWA KUSAINI DILI LA KIMATAIFA Read More »