SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI YAOMBWA KUWAWEKA KWENYE MPANGO WA MALIPO WAKUNGA WA VIJININI
Serikali ya kaunti ya Kilifi imeombwa kuwaweka kwenye mpango wa malipo wakunga wa vijijini wanaotoa huduma muhimu kwa wanawake wajawazito mashinani. Kwa mujibu na Philomena John ambaye ni mkunga kutoka eneo bunge la Magarini kaunti ya kilifi, maeneo yaliyo mbali na hospitali wanawake wamekuwa wakitegemea huduma za haraka kutoka kwa wakunga. Philomena amesema hatua hiyo […]



