WABUNGE KAUNTI YA TAITA TAVETA WAWEKA MIKAKATI YA KUWASILISHA MISUADA KATIKA BUNGE LA KITAIFA.
Wabunge wa Kaunti ya Taita taveta sasa wanajiandaa kuwasilisha miswaada bungeni itakayosaidia wakazi wa kaunti hiyo kunufaika kutokana na raslimali ya mbuga ya kitaifa ya wanyamapori ya Tsavo kufuatia utata unaoshuhudiwa kwa sasa. Wakiongozwa na mbunge wa Taveta John bwire, Wanasema wakaazi wameathiriwa pakubwa na wanyamapori wala hakuna fidia wanayopewa na shirika la huduma kwa […]



