WENYEJI WA LUNGA LUNGA WAENDELEA KUKABILIWA NA BAA LA NJAA
Wakaazi wa Lunga lunga walioathirika na baa la njaa kaunti ya Kwale wamemtaka rais William Ruto kuwafikishia msaada wa chakula katika eneo hilo. Wakaazi hao kutoka eneo la Mwereni wamedai hali hiyo imewalazimu wanafunzi kusalia nyumbani kwa sababu ya ukosefu wa chakula. Wakiongozwa na Kalama Nyawa, wakaazi hao wamesema hawajafanikiwa kupata mazao kufuatia ukosefu wa […]
WENYEJI WA LUNGA LUNGA WAENDELEA KUKABILIWA NA BAA LA NJAA Read More »



