STRAIKA WA TRANS NZOIA FALCON VIOLET NANJALA AIBUKIA MOROCCO
Violet Nanjala malkia wa soka aliyekuwa anakipiga kunako klabu ya Trans Nzoia Falcon inayochezea ligi Kuu ya wanawake nchini Kenya amesaidi dili la uhamisho wa Kudumu kuelekea klabu yake mpya ya AMFF Laayoune inayochezea ligi ya daraja la kwanza katika taifa la Morocco. Violet Nanjala Straika tegemezi kwenye kikosi kinachoongozwa na Justin Oriking anaondoka klabuni […]
STRAIKA WA TRANS NZOIA FALCON VIOLET NANJALA AIBUKIA MOROCCO Read More »



