HABARI

WALIOTEULIWA KUWA MAWAZIRI KAUNTI YA KILIFI WANAHOJIWA KWA SASA

Baadhi ya viongozi wa kamati la bunge la kaunti ya Kilifi wameanza mahojiano ya kuwapiga msasa walioteuliwa na gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Mung’aro kuhudumu kwa wizara mbalimbali kaunti ya Kilifi. Viongozi hao wanaongozwa na spika wa bunge la kaunti ya Kilifi ambaye pia ni mwenyekiti Teddy Mwambire kwenye kikao cha kuwapiga msasa mawaziri […]

WALIOTEULIWA KUWA MAWAZIRI KAUNTI YA KILIFI WANAHOJIWA KWA SASA Read More »

KARIM BENZEMA ASHINDA TUZO YA BALLON D’OR MWAKA HUU, SADIO MANE AKISHINDA TUZO YA UTU

Kwenye tuzo za Ballon d’or ambazo zimefanyika usiku wa kuamkia leo ni kwamba mashambuliaji wa Real Madrid pamoja na taifa la Ufaransa mwite Karim Benzema sasa ndiye mshindi wa tuzo ya Ballon d’or mwaka huu. Anakuwa mfaransa wa tano katika historia ya soka kushinda tuzo hiyo yenye hadhi kwa mchezaji ambaye alifanya bora zaidi duniani

KARIM BENZEMA ASHINDA TUZO YA BALLON D’OR MWAKA HUU, SADIO MANE AKISHINDA TUZO YA UTU Read More »