HABARI

REAL MADRID YAISHUSHIA BARCELONA KICHAPO CHA EL CLASICO

Klabu ya Real Madrid kule Uhispania iliitandika klabu ya Barcelona katika mtanange maarufu wa El clasico uliofanyika dimbani Santiago Barnebou uliotamatika kwa vijana na Carlo Ancelloti kuibuka na ushindi wa mabao 3-1. Bao la mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ufaransa Karim Benzema, goli la Fede Valverde na lile la kinda wa Brazil Rodrigo katika […]

REAL MADRID YAISHUSHIA BARCELONA KICHAPO CHA EL CLASICO Read More »

KOCHA WA MALKIA STRIKERS AMPENDEKEZEA NAIBU SPIKA MSWADA WA KULINDA WACHEZAJI

Kocha mkuu wa kikosi cha kinadada Malkia Strikers mwite Paul Bitok hapo jana alifanya mazungumzo na naibu spika wa bunge la kitaifa Gladys Sholei, mazungumzo yaliyolenga kupeleka misuada bungeni ya kulinda wachezaji wanaotumikia taifa hili na kuletea mafainikio mengi kuanza kulipwa malipo ya uzeeni wachezaji hao wanapo staafu. Mkutano huo unafanyika baada ya Paul Bitok

KOCHA WA MALKIA STRIKERS AMPENDEKEZEA NAIBU SPIKA MSWADA WA KULINDA WACHEZAJI Read More »