HABARI

HIMIZO LATOLEWA KWA GAVANA WA TAITA TAVETA KUZINGATIA MAONI YA WANANCHI

Mwakilishi wa wadi ya Mahoo eneo bunge la Taveta kaunti ya Taita Taveta Daniel Kimuyu ametoa wito kwa serikali ya kaunti hiyo kuwahusisha wenyeji katika masuala ya mpangilio wa miradi, CIDP. Kimuyu ametoa wito kwa gavana wa kaunti hiyo Andrew Mwadime kuhakikisha maon I ya wenyeji yanazingatiwa wakati wa utekelezaji wa mpango huo. Anadai kuwa […]

HIMIZO LATOLEWA KWA GAVANA WA TAITA TAVETA KUZINGATIA MAONI YA WANANCHI Read More »

KUONDOLEWA KWA ADHABU YA KIBOKO SHULENI KUMECHANGIA KWA WATOTO KUPOTOKA KIMAADILI

Mwenyekiti wa wazee wa mitaa eneo la Timbwani kaunti ya Mombasa Aboud Athman Mohammed anasema watoto kutoka maeneo hayo wamepotoka kimaadili. Kulingana na Aboud hali hiyo imechangiwa na hatua ya kuondolewa kwa adhabu shuleni hasa ya kiboko kwani imewafanya watoto wengi kuwa wakaidi shuleni na hata nyumbani. Amesema imekuwa vigumu kuwaadhibu watoto kutokana na sheria

KUONDOLEWA KWA ADHABU YA KIBOKO SHULENI KUMECHANGIA KWA WATOTO KUPOTOKA KIMAADILI Read More »

WAFANYABIASHARA KWENYE SOKO LA KONGOWEA WANAZIDI KULALAMIKA

Mwenyekiti wa usalama katika soko la Kongowea kaunti ya Mombasa peter Nyaga amesema tangu gavana wa kaunti hiyo Abdulswamad Shariff Nassiri kutoa agizo kwa asasi za usalama kufanya uchunguzi dhidi ya wanaojihusisha na biashara haramu sokoni humo hakuna hatua zozote zimechukuliwa kufikia sasa. Nyaga amesema kuna biashara mbalimbali haramu ambazo zinafanywa sokoni humo kama uuzaji

WAFANYABIASHARA KWENYE SOKO LA KONGOWEA WANAZIDI KULALAMIKA Read More »