HABARI

RONALDO KUFANYA KIKAO NA ERICK TEN HAG KABLA KUONDOKA OLD TRAFFORD

Mshindi mara tano wa taji la Ballon D’or Cristiano Ronaldo anatarajiwa kufanya kikao chengine cha mazungumzo magumu na Erik ten Hag, huku taarifa zikisambaa kuwa Manchester United itamruhusu fowadi huyo kuondoka kwenye dirisha la usajili la Januari. Mustakabali wa Ronaldo bado haujulikani baada ya Ten Hag kumtimua mchezaji huyo wa kimataifa wa Ureno kutokana na […]

RONALDO KUFANYA KIKAO NA ERICK TEN HAG KABLA KUONDOKA OLD TRAFFORD Read More »

KAMATI YA KUKABILIANA NA UKAME KWAUNTI YA KWALE YAWEKA MIKAKATI THABITI

Kamati ya kukabiliana na ukame kaunti ya Kwale imeweka mikakati ya kudhibiti visa vya wizi wa chakuka cha msaada kwa wenyeji ambao wameathirika na baa la njaa. Haya ni kulingana na naibu Kamishna wa eneo bunge la Matuga Lucy Ndemo ambaye amesema ni lazima walengwa wapate chakula chao cha msaada kama inavyopaswa kulingana na taratibu

KAMATI YA KUKABILIANA NA UKAME KWAUNTI YA KWALE YAWEKA MIKAKATI THABITI Read More »

LYDIAH HAIKA AWATAKA WALIMU WAKUU TAITA TAVETA KUTOWAFUKUZA WANAFUNZI

Mwakilishi wa kike kaunti ya Tata Taveta Lydiah Haika amewataka walimu wakuu kuwaruhusu wanafunzi kuendelea na masomo yao licha ya kuwa wanadaiwa karo. Haika ambaye alikuwa akizungumza kwenye kaunti hiyo, amesema kutokana na hali ngumu ya maisha ambayo inaendelea kuwakabili wananchi wazazi wanapitia wakati mgumu kulipa karo ya watoto wao. Vilevile, amewataka walimu kuhakikisha masomo

LYDIAH HAIKA AWATAKA WALIMU WAKUU TAITA TAVETA KUTOWAFUKUZA WANAFUNZI Read More »