HABARI

WANAFUNZI WANAOLIPIWA KARO NA SERIKALI YA LAMU WAHIMIZWA KUTIA BIDII MASOMONI

Gavana wa kaunti ya Lamu Issa Abdalla Timamy amewataka wanafunzi ambao wako kwenye shule za upili na wanalipiwa karo na serikali ya kaunti hiyo kutia bidii masomoni ili kuendelea kulipiwa karo ya shule. Amesema ni lazima wanafunzi wajitahidi katika masomo yao iwapo wanataka kuendelea kupata ufadhili huo ili wanufaike na fedha hizo kutoka kwa serikali […]

WANAFUNZI WANAOLIPIWA KARO NA SERIKALI YA LAMU WAHIMIZWA KUTIA BIDII MASOMONI Read More »