SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI YATAKIWA KUKAMILISHA MIRADI
Serikali ya kaunti ya Kilifi imetakiwa kukamilisha miradi ya maendeleo iliyokosa kutekelezwa katika miaka ya hapo awali, licha ya serikali ya kaunti kuitengea fedha katika bajeti ya miaka iyopita, tangu kuanzishwa kwa ugatuzi. Wakizungumza katika kikao cha Kilifi Citizen Forum ili kupendekeza miradi ya maendeleo katika bajeti ya mwaka wa kifedha wa 2022/2023, wanaharakati wa […]
SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI YATAKIWA KUKAMILISHA MIRADI Read More »



