WATU WENYE UWEZO MAALUM KAUNTI YA KILIFI WATAKIWA KUJISAJILI
Watu wanye uatilifu kaunti ya Kilifi wametakiwa kujisajili katika bodi inayosimamia watu wenye uwezo maalum na kupewa vitambulisho maalum ili kunufaika na misaada mbalimbali ya serikali kuu inayowalenga. Haya ni kwa mujibu wa mwenyekiti wa watu wenye uatilifu kaunti ya Kilifi Jacob Sirya, ambaye amesema iwapo watasajiliwa watanufaika zaidi kwani itakuwa rahisi kwao kupata ufadhili […]
WATU WENYE UWEZO MAALUM KAUNTI YA KILIFI WATAKIWA KUJISAJILI Read More »


