HABARI

WACHEZAJI WA MAGHARINI WAJARIBISHWA NA KIKOSI CHA KDF KABLA YA USAJILI

Wakuu wa vilabu vya mashinani wanasema wanafurahishwa sana na makuzi ya talanta za soka za vijanza wao katika eneo bunge la magharini kaunti ya kilifi. Akizungumza na Tama la Spoti alasiri ya leo Kennedy Rimba ambaye ni mkufunzi mkuu wa kikosi cha bosuster kilichojisajili kwa ligi ya fkf ya tawi la eneo bunge hilo amasema […]

WACHEZAJI WA MAGHARINI WAJARIBISHWA NA KIKOSI CHA KDF KABLA YA USAJILI Read More »

SULUHISHO LA SOKA LITAPATIKANA HIVI KARIBUNI – ABABU NAMWAMBA

Waziri wa michezo Ababu Namwamba amasema anaimani suluhisho la soka hapa nchini litapatikana hivi karibuni. Hii ni baada ya kuanza mazungumzo na fifa kuona ni jinsi gani marufuku ya fifa itaondolewa ili soka la Kenya la shirikisho la fkf litaanza kutambulika kimataifa. Ababu amehakikishia wadau wote wa soka hapa nchini taratibu zote zitafuata kuona soka

SULUHISHO LA SOKA LITAPATIKANA HIVI KARIBUNI – ABABU NAMWAMBA Read More »