HABARI

WENYEJI WA TANA RIVER WANATARAJIA KUSHUHUDIA MIRADI YA MAENDELEO

Waziri wa fedha kaunti ya Tana River Mathew Baboya emesema serikali ya kaunti hiyo kwa sasa iko katika nafasi nzuri ya kutekeleza miradi ambayo itawafaidi wenyeji kwa kiwango kikubwa. Kwa mujibu wa Waziri huyo anadai katika awamu ya kwanza ya uongozi wa gavana wa kaunti hiyo Dhadho Godhana, serikali hiyo ilikabiliwa na changamoto kutokana na […]

WENYEJI WA TANA RIVER WANATARAJIA KUSHUHUDIA MIRADI YA MAENDELEO Read More »

WASOMO KWENYE DINI YA KIISLAMU NCHINI YATAKA MASOMO YA MADRASSA KUJUKUISHWA KWENYE CBC

Mikakati inapoendelea kuwekwa zaidi kuhakikisha mtaala mpya wa umilisi CBC unatekelezwa ipasavyo, sasa wasomi wa dini ya Kiislamu nchini wanapendekeza masomo ya Madrassa kujumuishwa kwenye mtaala huo ili watoto wa dini hiyo wasibaki nyuma. Wasomi hao wakiongozwa na mwenyekiti wao Daktari Sheikh Hassan Kinyua Omar wanadai masomo ya Madrassa hayajajumuishwa kwenye mtaala huo na kusema

WASOMO KWENYE DINI YA KIISLAMU NCHINI YATAKA MASOMO YA MADRASSA KUJUKUISHWA KWENYE CBC Read More »

VIONGOZI WA DINI KAUNTI YA MOMBASA WATAKA CHAKULA CHA MSAADA KUWAFIKIA WALENGWA

Viongozi wa dini kaunti ya Mombasa wametoa wito kwa waliotwikwa jukumu la kusambaza chakula cha msaada kwa wakenya wanaokabiliwa na baa la njaa kuhakikisha kinawafikia walengwa. Akizungunza katika hafla ya kutoa shukrani katika kanisa la ACK Cathedral kaunti ya Kombasa Kasisi Alphonse Baya amesema itakuwa kinaya kuona matajiri wakinufaika na chakula hicho huku waathiriwa wakiendelea

VIONGOZI WA DINI KAUNTI YA MOMBASA WATAKA CHAKULA CHA MSAADA KUWAFIKIA WALENGWA Read More »