HABARI

GOLDEN STATE WARRIORS NDIO WAKWASI WA NBA KULINGANA NA FORBES

Wabingwa wa msimu uliopita wa mashindano ya NBA Golden State Warriors kule Marekani ndio wamesimama kileleni kwenye orodha ya vilabu vyenye hela ndefu zaidi katika mchezo huo kwa sasa. Kulingana na gazeti rasmi la Forbes ni kuwa Golden State Warriors kama klabu inathamani ya Bilioni 850 pesa za Kenya na sasa wamewapiku New York Knicks […]

GOLDEN STATE WARRIORS NDIO WAKWASI WA NBA KULINGANA NA FORBES Read More »

AMINA MOHAMED APEANA MIKOBA KWA ABABU NAMWAMBA.

Balozi Amina Mohamed waziri anayeondoka kwenye wizara ya michezo mchana wa leo akipeana mikoba kwa waziri mpya Ababu Namwamba amemtakia kila laheri katika majukumu yake mapya akisema kwamba anaimani Ababu anauwezo wa kutekeleza ajenda zote alonazo pamoja na kuimarisha michezo hapa nchini Kwa upande wake Ababu Namwamba ambaye anarejea katika wizara hiyo kwa mara ya

AMINA MOHAMED APEANA MIKOBA KWA ABABU NAMWAMBA. Read More »