GERRARD PIQUE ASTAAFU SOKA RASMI
Mshindi wa kombe la dunia mwaka 2010 mwite Gerrard Pique na timu yake ya taifa ya Uhispania ni nguli atakayekosekana katika mashindano ya dunia mwaka huu baada ya kutangaza rasmi hapo jana kwamba mechi ya laliga ya wikendi hii ambapo klabu yake ya Barcelona itakuwa inavaana na Almeria itakuwa mechi yake ya mwisho kusakata soka […]
GERRARD PIQUE ASTAAFU SOKA RASMI Read More »



