HIMIZO LATOLEWA KWA WENYEJI WA TANA RIVER KUPANDA MITI NA NYASI
Wakaazi wa Tana Delta kaunti ya Tana River wameshauriwa kupanda miti na nyasi kwa wingi wakati huu ambapo kumeanza kushuhudiwa mvua baada ya kipindi kirefu cha kiangazi. Mshirikishi wa shirika la NATURE KENYA George Odera amesema wakaazi wa Tana River walikua na wasiwasi wa kupoteza mifugo wao kutokana na ukosefu wa malisho na maji hali […]
HIMIZO LATOLEWA KWA WENYEJI WA TANA RIVER KUPANDA MITI NA NYASI Read More »



