HABARI

SAUDI ARABIA NI SIKUKUU BAADA YA KUISHINDA ARGENTINA 2-1, GIROUD KUFIKIRIA REKODI YA HENRY

Leo ni siku kuu katika taifa la Saudia Arabia kufuatia tangazo la jana la mfalme wa taifa hilo Salman kusema wananchi wanapasa kusherehekea ushindi wa timu yao ya taifa walipoichana timu ya taifa ya Argentina katika mechi yao ya ufunguzi kwenye mashindano yanayoendelea katika taifa la Qatar. Saudi Arabia iliitandika Argentina kichapo cha mabao 2-1 […]

SAUDI ARABIA NI SIKUKUU BAADA YA KUISHINDA ARGENTINA 2-1, GIROUD KUFIKIRIA REKODI YA HENRY Read More »

JAPAN YAIZAMISHA UJERUMANI QATAR KWENYE MASHINDANO YA KOMBE LA DUNIA

Mashindano ya kombe la dunia yanazidi kushangaza wengi na ukistaajabu ya Argentina kupigwa na Saudi Arabia jana meche nyingine ni ya leo ya Ujerumani na Japan ambayo imetamatika kwa Ujerumani kutandikwa kichapo cha mabao 2-1 na Japan mtanange ambao umechezwa katika dimba la Khalifa stadium katikati mwa jiji la doha. Ikay Gundogan yule wa Manchester

JAPAN YAIZAMISHA UJERUMANI QATAR KWENYE MASHINDANO YA KOMBE LA DUNIA Read More »