BAADHI YA VIONGOZI KAUNTI YA KILIFI WATOA WITO KWA WAZAZI KUWA KARIBU NA WATOTO WAO WA KIKE
Viongozi wa kisiasa kaunti ya Kilifi wametoa wito kwa wazazi kaunti ya Kilifi kuchukua jukumu la kuzungumza na watoto wao wa kike kuhusiana na athari za kushiriki ngono wakiwa na umri. Wakiongozwa na Naibu gavana wa kaunti ya Kilifi Magret Chibule, pamoja na Mwakilishi wa kike kaunti ya Kilifi Getrude Mbeyu, ambao walikuwa wakizungumza katika […]



