HABARI

SERIKALI KUU NA YA KAUNTI YA KILIFI ZAWEKA MIKAKATI KUKABILIANA NA VISA VYA MIMBA ZA UTOTONI

Serikali ya kitaifa kwa ushirikiano na ya kaunti ya Kilifi zimeweka mikakati katika kuhakikisha zinakabiliana na visa vya mimba za utotoni katika kaunti ya Kilifi. Haya ni kulingana na waziri wa Umma na jinsia nchini Aisha Jumwa, ambaye amewataka wadau mbalimbali katika idara ya usalama kaunti ya Kilifi kushirikiana katika kuwakabili wale wanaoripotiwa kutekeleza visa […]

SERIKALI KUU NA YA KAUNTI YA KILIFI ZAWEKA MIKAKATI KUKABILIANA NA VISA VYA MIMBA ZA UTOTONI Read More »

FAMAU MOHAMMED FAMAU AMPONGEZA RAIS WILLIAM SAMOEI RUTO

Mwanaharakati wa kukabiliana na utumizi wa mihadarati kaunti ya Kilifi Famau Mohammed Famau amempongeza Rais William Samoei Ruto kwa kile anachokisema ameimarisha mikakati ya kukabiliana na ulanguzi wa dawa za kulevya eneo la Pwani na taifa la Kenya kwa jumla. Kulingana na Famau eneo la Pwani, ndilo lililoathirika zaidi na ulanguzi na hata utumizi wa

FAMAU MOHAMMED FAMAU AMPONGEZA RAIS WILLIAM SAMOEI RUTO Read More »

ZAIDI YA HATI MILIKI 700 ZAKABIDHIWA WENYEJI WA KAUNTI YA KILIFI

Mratibu wa kitaifa wa idara ya maendeleo ya miji na nyumba Peris Mangira amethibitisha kuwa zaidi ya hati miliki 700 zimekabidhiwa wenyeji wa Kaunti ya Kilifi kupitia mradi wa serikali wa kubadilisha maisha na makazi ya mitaa ya mabanda almaarufu KISIP. Peris Mangira amesema wamefanikiwa kutoa stakabadhi hati miliki 900 katika awamu ya kwanza huku

ZAIDI YA HATI MILIKI 700 ZAKABIDHIWA WENYEJI WA KAUNTI YA KILIFI Read More »