NTSA YAZINDUA TEKNOLOJIA INAYOTUMIA KAMERA ZA CCTV KUIMARISHA USALAMA BARABARANI
Halmashauri ya uchukuzi na usalama barabarani NTSA kwa ushirikiano na wadau katika sekta ya uchukuzi wamezindua teknolojia inayotumia kamera za CCTV kufuatilia usalama wa madereva barabarani na iwapo wanafuatilia kanuni zilizowekwa. Wakizungumza mjini Mombasa, NTSA imesema kuwa teknolojia hiyo inalenga madereva wa masafa marefu na kudai kuwa asilimia 85 ya ajali zinazoripotiwa nchini ni kutokana […]
NTSA YAZINDUA TEKNOLOJIA INAYOTUMIA KAMERA ZA CCTV KUIMARISHA USALAMA BARABARANI Read More »



