HABARI

RAIS RUTO AITAKA KRA KUONGEZA MAPATO YAKE YA USHURU

Rais William Ruto ameitaka halmashauri ya ukusanyaji ushuru nchini KRA kuongeza mapato yake ya ushuru kutoka lengo la shilingi trilioni tatu hadi nne. Kwa mujibu wa Ruto hii ndio njia pekee ya kuiwezesha serikali kutekeleza ahadi ilizotoa kwa wakenya na kulipa madeni. Rais Ruto ameyasema haya wakati wa ibada ya Jumapili mtaani Karen jijini Nairobi […]

RAIS RUTO AITAKA KRA KUONGEZA MAPATO YAKE YA USHURU Read More »

RAILA ODINGA APUZILIA MBALI MGOGORO UNAOKUMA AZIMIO LA UMOJA ONE KENYA

Kinara wa azimio la umoja one kenya Raila Odinga amepuuzilia mbali mgogoro wa kisiasa unaokumba azimio la umoja kwa sasa huku akiwataka viongozi wa vyama tanzu kwenye muungano huo kujadili maswala ibuka wiki hii. Kwa mujibu wa Raila, cheche za maneno baina ya viongozi katika muungano huo wa azimio la umoja hazisaidii kustawisha upinzani huku

RAILA ODINGA APUZILIA MBALI MGOGORO UNAOKUMA AZIMIO LA UMOJA ONE KENYA Read More »

MIKAKATI YA KUTOSHA YA MAANDALIZI YA MTIHANI WA KITAIFA YAWEKWA TANA RIVER

Mkurugenzi wa elimu kaunti ya Tana River Khalif Hassan amesema mikakati ya kutosha imeweka kuhakikisha matayarisho ya kuandaliwa kwa mtihani wa kitaifa yanaendelea vyema bila changamoto zozote. Amesema jumla ya wanafunzi 17,166 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kitaifa kwenye kaunti hiyo wakiwemo wale wa darasa la 6 ambao watakuwa wanajiunga na shule za upili mwaka ujao

MIKAKATI YA KUTOSHA YA MAANDALIZI YA MTIHANI WA KITAIFA YAWEKWA TANA RIVER Read More »