MSHUKIWA MMOJA WA VISA VYA UVAMIZI ENEO LA KISAUNI ATIWA MBARONI
Kamishna wa kaunti ya Mombasa John Otieno amesema wamefanikiwa kumnasa mmoja wa washukiwa wa visa vya uvamizi katika eneo bunge la Kisauni. Kulingana na kamishna huyo mshukiwa huyo ambaye ni miongoni mwa wale ambao wanahusishwa na visa vya uvamizi ambavyo viliripotiwa kwenye eneo bunge hilo siku chache zilizopita, alinaswa kufuatia ushirikiano baina ya wenyeji na […]
MSHUKIWA MMOJA WA VISA VYA UVAMIZI ENEO LA KISAUNI ATIWA MBARONI Read More »


