HABARI

DANSON MWASHAKO ADAI WENYEJI WA WUNDANYI HAWAJAKUWA WAKINUFAIKA NA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI MADINI

Mbunge wa Wundanyi kaunti ya Taita Taveta Danson Mwashako amesema wenyeji wa kaunti hiyo hawajakuwa wakinufaika na shughuli za uchimbaji madini ambazo zinaendelezwa na mwekezaji mmoja wa kibinafsi. Mwashako anadai mwekezaji huyo amekiuka sheria za uchimbaji madini kwani amekuwa akikwepa kutoa asilimia ya mgao wa fedha kwa wenyeji kutokana na madini hayo. Aidha, amesema licha […]

DANSON MWASHAKO ADAI WENYEJI WA WUNDANYI HAWAJAKUWA WAKINUFAIKA NA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI MADINI Read More »

MADAI YAIBULIWA VIJANA WA PWANI WANABAGULIWA KWENYE MASUALA YA AJIRA

Mkurugenzi wa shirika la kukabiliana na utumizi wa pombe haramau na dawa za kulevya nchini NACADA Fatuma Rashid amelalamikia ubaguzi dhidi ya vijana wa kanda ya pwani hasa kwenye masuala ya kazi. Akizungumza kwenye kaunti ya Mombasa Fatuma amesema hali hiyo imekuwa ikichangia kwa idadi kubwa ya vijana kujiingiza katika utumizi wa dawa za kulevya.

MADAI YAIBULIWA VIJANA WA PWANI WANABAGULIWA KWENYE MASUALA YA AJIRA Read More »

MAENEO BUNGE YA KILIFI KASKAZINI NA KILIFI KUSINI MIONGONI MWA YANAYOKUMBWA NA USKWOTA

Jaji mkuu wa Mahakama ya Ardhi na Mazingira Dkt. Millicent Odeny amesema maeneo bunge ya Kilifi Kaskazini na Kilifi Kusini kaunti ya Kilifi ni miongoni mwa yale yanayokumbwa na uskwota kaunti ya Kilifi. Akizungumza katika kikao na wanahabari mjini Kilifi kaunti ya Kilifi Odeny amesema wakati umefika kwa serikali ya kaunti ya Kilifi kushughulikia swala

MAENEO BUNGE YA KILIFI KASKAZINI NA KILIFI KUSINI MIONGONI MWA YANAYOKUMBWA NA USKWOTA Read More »