SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI YABUNI KITENGO MAALUM CHA KUFUATILIA SHUGHULI ZOTE ZA MIRADI YA KAUNTI
Gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Mung’aro ameseme wamebuni kitengo maalum ambacho kitakuwa kikifuatilia shughuli zote za miradi ya kaunti ya Kilifi ili kuhakisha inatekelezwa kama ilivyokuwa imeratibiwa. Kulingana na Mung’aro ni kitengo ambacho kitasaidia katika kukabiliana na visa vya ufisadi kwenye miradi ambayo inafanywa na serikali ya kaunti ya Kilifi. Ametaja visa hivyo kuwa […]



