HABARI

ABDI CHOME ATISHIA KUWASILISHA MALALAMISHI KWA SERIKALI YA UINGEREZA

Mbunge wa Voi kaunti ya Taita Taveta Abdi Chome watawasilisha malalamishi yao kwa serikali ya Uingereza kuhusu kupata fidia kutokana na athari ya vita ya kwanza ya dunia. Kwa mujibu wa Mbunge huyo vita hiyo iliathiri pakubwa kuongezeka kwa jamii ya Wataita na Wataveta na pia kuathiri shughuli za kilimo kwa asilimia kubwa. Kauli yake […]

ABDI CHOME ATISHIA KUWASILISHA MALALAMISHI KWA SERIKALI YA UINGEREZA Read More »

SOIPAN TUYA ASEMA WANAPANIA KUANZISHA MIKAKATI YA KUWEKA SHERIA YA KUIMARISHA UUZAJI WA HEWA KAA KIMATAIFA

Waziri wa mazingira na misitu nchini Soipan Tuya amesema kuwa wanapania kuanzisha mikakati ya kuweka sheria ya kuhakikisha uuzaji wa hewa kaa (CARBON CREDIT) kwa mataifa ya nje inawanufaisha zaidi watunzaji wa mazingira zaidi nchini Kenya. Akizungumza kwenye kijiji cha Makongeni na Gazi eneo bunge la Msambweni kaunti ya Kwale Tuya amesema kwa sasa hakuna

SOIPAN TUYA ASEMA WANAPANIA KUANZISHA MIKAKATI YA KUWEKA SHERIA YA KUIMARISHA UUZAJI WA HEWA KAA KIMATAIFA Read More »

SHEREHE ZA KUONYESHA UTAMADUNI KISIWANI LAMU ZIMEINGIA SIKU YA PILI LEO

Sherehe za kuonyesha utamaduni kisiwani Lamu zinaendelea huku maonyesho mbalimbali yakipangiwa kwenye sherehe hizi za kila mwaka. Hii ni mara ya kwanza kwa sherehe hizi kufanyika kwa muda wa miaka mitatu baada ya kuathirika kutokana na tandavu ya corona. zaidi ya wageni elfu 30 tayari wamewasili katika kaunti hiyo ya Lamu huku wakaazi wakisema kuwa

SHEREHE ZA KUONYESHA UTAMADUNI KISIWANI LAMU ZIMEINGIA SIKU YA PILI LEO Read More »