SERIKALI KUFANYA MICHEZO KUWA KITEGA UCHUMI
Rais William Ruto anaahidi kuwezesha michezo kuwa kitega uchumi kwa vijana wengi katika taifa hili kama njia moja ya kuwakwamua kutokana na umaskini. Ruto ambaye alikuwa anahotubia taifa Jumatatu katika sherehe za Jamhuri alisema kwamba analenga kutumia mradi wa Talanta Hela kama njia ya kuwafanya vijana kutangaza talanta zao kutoka mashinani na kupitia mradi huo […]
SERIKALI KUFANYA MICHEZO KUWA KITEGA UCHUMI Read More »



