HABARI

NICK SALAT ATAKIWA KUTOJIBIZANA NA GIDEON MOI

Chama cha KANU (Kenya African National Union) tawi la kaunti ya Kilifi, kimetoa wito kwa katibu mkuu wa  kitaifa wa chama hicho Nick Salat, ambaye pia alikabidhiwa barua ya kubanduliwa mamlakani siku chache zilizopita, kutojibizana na mwenyekiti wao Gideon Moi. Kulingana na katibu mkuu wa chama hicho  Alex Mwanza, amemtaka  Salat kufuata maagizo ya  Moi  […]

NICK SALAT ATAKIWA KUTOJIBIZANA NA GIDEON MOI Read More »

REFA WA KADI NYINGI KUFUNGIWA KWENYE MASHINDANO YA KOMBE LA DUNIA

Refa wa kimataifa Antonio Mateu aliyechezesha mechi ya robo fainali baina ya Uholanzi na Argentina sasa atalazimika kuachana na mashindano ya kombe la dunia yanayoendelea katika taifa la Qatar. Hii ni kutokana naye kujipata pabaya baada ya uamuzi mbaya uwanjani ambao ulikashifiwa na wachezaji pamoja na maafisa wa fifa kutokana naye kuadhimu kadi 17 za

REFA WA KADI NYINGI KUFUNGIWA KWENYE MASHINDANO YA KOMBE LA DUNIA Read More »