KARIM BENZEMA ASTAFU SOKA LA KITAIFA
Karim Benzema mshambuliaji wa klabu ya real Madrid amethibitisha kwamba amestafu soka la kitaifa baada ya fainali za siku ya jumapili ambapo Ufaransa walipoteza kwa Argentina kupitia mikwaju ya penalti. Benzema alikosekana katika mechi za kombe la dunia katika makala ya 22 kutokana na jeraha. Katika takwimu zake za uchezaji akivalia uzi wa ufaransa amefunga […]
KARIM BENZEMA ASTAFU SOKA LA KITAIFA Read More »



