GAVANA WA KAUNTI YA LAMU ISSA TIMAMU AWATAKA WAVUVI WALIOTIWA MBARONI KUACHILIWA HURU.
Gavana wa Lamu Issa Abdallah Timammy ameitaka idara ya mahakama kufutilia mbali mashtaka dhidi ya wavuvi walioshikwa baada ya kunaswa na nyavu zilizopigwa marufuku kutumika. Timammy ameahidi kuwa serikali ya kaunti ya Lamu itawanunulia vifaa vya uvuvi hitajika ila kwanza, ni sharti wavuvi hao waachiliwe huru ili waweze kujiendeleza kiuchumi kupitia shughuli zao za uvuvi. […]
GAVANA WA KAUNTI YA LAMU ISSA TIMAMU AWATAKA WAVUVI WALIOTIWA MBARONI KUACHILIWA HURU. Read More »



