HABARI

DIANA CHEMTAI APIGWA MARUFUKU YA MIAKA 6

Bingwa wa mwaka jana wa mashindano ya Boston Marathon Diana Chemtai amepigwa marufuku ya kushiriki mashindano ya riadha baada ya kuwa mkenya wa hivi punde zaidi kupatikana na hatia ya kutumia dawa haramu za kusisimua misuli. Kitengo kinachosimamia uadilifu wa wanariadha kimempa marufuku ya miaka sita kutoshiriki mashindano yoyote kutokana na kutofuata kanuni za taaluma […]

DIANA CHEMTAI APIGWA MARUFUKU YA MIAKA 6 Read More »

AFISA WA DCI AFIKISHWA MAHAKAMANI KAUNTI YA KILIFI KWA MADAI YA UBAKAJI.

Afisa wa polisi wa kitengo cha DCI kaunti ndogo ya Magarini kaunti ya Kilifi amefikishwa mbele ya mahakama ya Kilifi kwa shutma za kumnajisi mtoto katika eneo hilo. Afisa huyo kwa jina George Nangoye amekana mashtaka matatu mbele ya hakimu mkuu mkaazi Geofrey Kimang’a. Mashtaka hayo yanajumuisha kosa la kumnajisi msichana wa miaka 16 mnamo

AFISA WA DCI AFIKISHWA MAHAKAMANI KAUNTI YA KILIFI KWA MADAI YA UBAKAJI. Read More »

WIZARA YA MADINI YATANGAZA KUBORESHA SHUGHULI ZA KUTOA LESENI ZAKE.

Waziri wa madini na uchumi wa baharini Salim Mvurya amesema kuwa wizara hiyo imeweka mikakati ya kuhakikisha kuwa mvutano unaogubika sekta ya madini kule Voi na Kishushe kaunti ya Taita taveta unapata suluhu ya haraka. Akizungumza baada ya kufanya ziara yake kaunti hiyo, Mvurya amehoji kuwa wizara hiyo inanuia kuweka mazingira bora ya kibiashara katika

WIZARA YA MADINI YATANGAZA KUBORESHA SHUGHULI ZA KUTOA LESENI ZAKE. Read More »