HABARI

VIONGOZI WA PWANI WATAKIWA KUSITISHA PROPAGANDA KUHUSU MUSWADA WA FEDHA WA MWAKA WA 2023

Mshauri wa kisasa katika muungano wa Kenya Kwanza eneo Pwani Karisa Nzai amewataka viongozi wa pwani kuwaambia Wananchi wao kuhusu muswada wa fedha wa mwaka wa 2023/24 badala ya kuendeleza siasa zisizo na msingi hasa Mashinani. Akizungumza huko Mgamboni kaunti ya Kilifi, Karisa Nzai amesema ikiwa muswada huo utapitishwa bungeni wananchi watanufaika zaidi. Amesema wanaoupinga muswada huo […]

VIONGOZI WA PWANI WATAKIWA KUSITISHA PROPAGANDA KUHUSU MUSWADA WA FEDHA WA MWAKA WA 2023 Read More »

HAMTASHIRIKI MASHINDANO MAKUBWA AFRIKA BILA WANAWAKE ZENU – CAF

Shirikisho la soka barani Afrika Caf limetangaza kwamba haitaruhusu klabu yoyote kushiriki katika mashindano ya shirikisho hilo bila kuwa na klabu ya kinadada inayoshiriki katika ligi inayotambulika katika taifa wanalotoka. Taarifa hiyo sasa inaiweka Gor Mahia lakini pia klabu ya Tusker roho juu pamoja na kuwa na tumbo joto kwani klabu  hizo kwa sasa ziko

HAMTASHIRIKI MASHINDANO MAKUBWA AFRIKA BILA WANAWAKE ZENU – CAF Read More »

URUGUAY NA ITALIA KUVAANA KATIKA FAINALI YA KOMBE LA DUNIA

Timu ya taifa ya Uruguay ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 20 imefuzu kuingia fainali ya mashindano ya Kombe la dunia baada ya kuilaza Israel kichapo cha bao 1-0. Watavaana na Italia katika fainali hiyo amao kwa upande wao waliitandika korea kusini kichapo cha mabao 2-1. Fainali hiyo iyachezwa tarehe 12 mwezi huu Israel na

URUGUAY NA ITALIA KUVAANA KATIKA FAINALI YA KOMBE LA DUNIA Read More »