GAVANA ABDULSWAMAD SHARIF NASSIR APANIA KUFANYA UKAGUZI KUBAINI WAFANYIKAZI HEWA MOMBASA
Gavana wa kaunti ya Mombasa Abdulswamad Shariff Nassir, anapanga kufanya ukaguzi ili kubaini wafanyikazi halali walioajiriwa na serikali ya kaunti ya Mombasa. Akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa maabara ya kidijitali ya BIONEAR, katika ukumbi wa Treasury Square kaunti ya Mombasa, Nassir amesema kuna baadhi wafanyikazi hewa ambao wanalipwa mshahara kila mwezi na serikali ya […]
GAVANA ABDULSWAMAD SHARIF NASSIR APANIA KUFANYA UKAGUZI KUBAINI WAFANYIKAZI HEWA MOMBASA Read More »



