THOMAS SANKEI ALALAMIKIA IDADI KUBWA YA WANAFUNZI TANA RIVER KUACHA MASOMO
Kamishna wa kaunti ya Tana River Thomas Sankei amelalamikia idadi kubwa ya wanafunzi kwenye kaunti hiyo kuacha masomo na pia idadi ya watahiniwa kupungua. Kutokana na hali hiyo sasa amewataka viongozi wa kaunti hiyo kufanya kikao cha dharura ili kujadili msatakabi wa elimu kwenye kaunti ya Tana River. Amesema ni lazima hatua za haraka zichukuliwe […]
THOMAS SANKEI ALALAMIKIA IDADI KUBWA YA WANAFUNZI TANA RIVER KUACHA MASOMO Read More »



