HABARI

RAIS RUTO AELEZA MATUMAINI YA KUPUNGUA KWA GHARAMA YA UMEME NCHINI

Rais William Samoei Ruto amesema gharama ya juu ya umeme nchini itashughulikiwa baada ya wadau husika kufanya utathmini upya wa bei ya kawi kulingana na muda ambao umetengwa kisheria. Akizungumza jana akiwa kwenye ikulu ya Nairobi katika mahojiano na wanahabri, Rais Ruto amesema kwa sasa serikali inaendeleza mikakati kuhakikisha gharama ya umeme inapungua nchini ili […]

RAIS RUTO AELEZA MATUMAINI YA KUPUNGUA KWA GHARAMA YA UMEME NCHINI Read More »

RONALDO KUJA NEWCASTLE NI POROJO – EDDIE HOWE

Mkufunzi mkuu wa klabu ya Newcastle United mwite Eddie Howe amesema madai ya kwamba sajili mpya ya Al Nasr Christiano Ronaldo ameweka kipendele cha kurudi uingereza na kuchezea Newcastle iwapo itafuzu kuingia mashindano ya Uefa Champions league msimu ujao ni porojo tupu na hayana ukweli wowote. Ronaldo alitambulishwa rasmi jana kwa mashabiki wa Al Nassr

RONALDO KUJA NEWCASTLE NI POROJO – EDDIE HOWE Read More »