HABARI

VILABU VYA MASHINANI VYAONYWA ‘KUTONUNUA’ WACHEZAJI MAGARINI

Uongozi wa soka la mashinani kwenye eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi umewaonya vilali vilabu vilivyosajiliwa na shirikisho la tawi hilo kutotumia wachezaji kutoka maeneo bunge mengine na wanaochezea ligi tofauti katika mashindano yoyote yanayosimamiwa na shirikisho la fkf Magarini. Katika waraka uliochapishwa mitandaoni na katibu wa soka Emmanuel Kazungu umeibua madai kwamba klabu […]

VILABU VYA MASHINANI VYAONYWA ‘KUTONUNUA’ WACHEZAJI MAGARINI Read More »